Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa milioni 180 maongezi yapo 📍 Ipo GOBA NJIA NNE - Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vitatu vya Kulala
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇ Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 500
◇document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
◇Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
◇ Maji safi umeme vyote vipo
◇Nyumba ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana
◇Umbali mita 700 tu kutoka barabara kuu ya lami ya Goba road
Kwenda kukagua. Nyumba tunachaji. Sh 30000 yakifuatiwa
Na malipo ya % 5 ya dalali baada
Kuinunua nyumba piga sim
0746218111/0784422099
0715422099