Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Pagale linauzwa
Bei milioni 110 maongezi
Lipo goba tegeta A barabara yamakabe
Kiwanja CHAKE SQM 700
Underground
Chini chumba master choo choo chanje nachumba chakawaida
Juu Vyumba 3 vyote master sebule dinning jiko bafu store public toilet
Mtaa MZURI
Umeme maji VIPO jirani
Nipigie +255 688 256 905/WtsApp