Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI APARTMENTS TATU (3) NDANI YA ENEO MOJA ZINAUZWA GOBA CENTRE.
✅ Kila Apartment Moja Ina Chumba Kimoja Master, Sitting & Kitchen ( Kodi 250k Kila Moja Kwa Mwezi )
✅Apartment Zote Zina Jitegemea Mfumo Wa Umeme Na Maji Ya Dawasco
✅Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi )
✅Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
✅Umbali: Meter 600 Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami (Goba Road)
Bei : 65 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0788077337 ☎️0625637254