Kiwanja kinauzwa Hazina, Dodoma


SOKONI LEO MKALAMA NI UMBALI WA KM 4 ADI KM 5 KUTOKA MJINI KATI SQM 600 BEI 18m NI MOJA YA ENEO PENDWA NA LINALO JENGEKA KWA KASI KUBWA SANA HII NI KWASABABU NI KARIBU SANA NA MJINI NA NIKARIBU SANA NA OFISI NYINGI ZA UMMA KM 1 ADI ILIPO MAHAKAMA KUU MPYA KM 2 ADI ULIPO UKUMBI WA JAKAYA CONVENTION CENTER KM 2 ADI JENGO LA KAMBARAGE TOWER KM 2 ADI ILIPO TREASURY SQUARE DODOMA AU JENGO LA HAZINA NI KARIBU PIA NA TAKWIMU HOUS NK TUNAKUKARIBISHA UNAWEZA KUWEKEZA HAPA KIBIASHARA AU KWA MAZI TUNAPATIKANA DODOMA MJINI MTAA WA UHINDINI MKABALA NA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI tuwasiliane 0718001254