Kiwanja kinauzwa Heka, Singida
ENEO LINAUZWA LIMEGUSA LAMI PIA LIPO MITA 200 KUTOKA BANDARI YA DAR ES SALAAM
LINA UKUBWA WA HEKA MBILI NA NUSU
ENEO LIMEPANGISHWA WAPANGAJI TOFAUTI
KUNA FRAME,KUNA YARD,KUNA GODOWN NA SHOW ROOM PAMOJA NA GAREGE
ENEO LIMEPIMWA NA LINA HATI
PRICE =bilion 8.5
Maongezi yapo
SITE VISITING 250000
Call 0718 606739