Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU KARIBU NA VENNY CONSTUCTION JIJINI DODOMA
Mahali; Iyumbu
Eneo ukubwa; 1,196 sq.m
Sifa; Kipo kilometre 2 toka lami
Corner plot
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kipo sehemu nzuri
Bei; 22,000,000/= ( milioni ishirini na mbili tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"