Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA CHA PILI KUTOKA LAMI KINAUZWA IYUMBU JIJINI DODOMA
Mahali; Iyumbu
Eneo ukubwa; 820 sq.m
Sifa; Cha pili lami
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kimepimwa
Nyaraka zote zipo
Kipo sehemu nzuri
Bei; 27,000,000/= ( milioni ishirini na saba tu)
Mawasiliano;
Call # 0655 494700
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"