Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma
KIWANJA CHA PILI LAMI KINA FENSI PANDE MBILI KINAUZWA IYUMBU WEST JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,200 sq.m
Kina HATI
Cha pili lami
Kina fensi pande mbili
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 50,000,000/= ( milioni hamsini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"