Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA CHA PILI LAMI KINAUZWA IYUMBU BLOCK D JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 729 sq.m
Kinafaa kwa APARTMENT au MAKAZI
Cha pili LAMI
Kina HATI
BEI ni Tshs. 42m
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"