Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma
KIWANJA KINAUZWA IYUMBU NYUMA YA SHELL JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 525 sq.m
Kina HATI
Cha pili barabara kubwa
Maii/Umeme upo
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 13,500,000/= ( milioni kumi na tatu na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"