Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU CENTRE JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 595 sq.m
Kina HATI
Cha pili barabara kubwa ya mita 30
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kipo kilometre mbili kutoka lami
Bei ni Tshs. 12,500,000/= ( milioni kumi na mbili na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"