Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


IYUMBU NEW TOWN CENTER KIWANJA KINAUZWA JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 2,000 sq.m
Kina HATI
Kipo upande wakulia kama unaenda Iyumbu
Kipo kabla ujafika Jengo la Utawala Udom
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Bei ni Tshs. 60,000,000/= ( milioni sitini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"