Kiwanja kinauzwa Kerege, Pwani


:
KIWANJA KIZURI KINAUZWA
Kiwanja Kipo KEREGE MAPINGA BAGAMOYO
Kiwanja Kipo Umbali wa Kilomita 1 Kutoka Kwenye Barabara ya Bagamoyo Rd.
Kiwanja Kina Ukubwa wa SQUARE METER 1,600
Kiwanja Kimepimwa Tayari Bado Hati Kutoka
Umeme, MAJI na Barabara ni Nzuri Kutoka Main Road Mpaka Kiwanja Kilipo
BEI YAKE NI TSH. 27 MILLION
#Maongezi_Yapo
0716 776247
0754 221168