Kiwanja kinauzwa Kibada, Dar Es Salaam
Nyumba hii nauza ipo kibada sungurani kiwanja kina 20 kwa 20 (sqm 400) ina vyumba viwili vya kulala kimoja master na jiko dogo pia ina servant kota nje ya chumba kimoja master na jiko la nje ila bado havijaisha..
Bei mil 55 (maongezi yapo)
Umiliki: mauziano ya serikali ya mtaa. NIPIGIE NIKUPE MAELEKEZO ZAIDI MAWASILIANO 0686 705 903 07599 43865