Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA NZURI NA YA KISASA INAUZWA MILIONI 90
NYUMBA IPO MKOA WA PWANI KIBAHA KWA MATHIASI👈
NYUMBA IPO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MORO ROAD
MAJI UMEME VIPO HAPO NDANI
NYUMBA NI YA VYUMBA VITATU SEBULE JIKO DAINING PUBLC CHUMBA MASTER STORE
ENEO SQM 400
BEI MILIONI 90
MAONGEZI YAPO MAKUBWA
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
SHUKA MSIKITINI KWA MATHIAS NYUMBA IPO MBELE MAENEO YA KWA DOCTOR BAKI
KARIBU SANA MTEJA
KUPELEKWA SITE SERVICES CHARGE NI 30,000/=
What saapp number ⬅️ 0689-547258