Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani







*Kiwanja cha Tatu kutoka lami kinauzwa Luguruni*
*Location* Plot ipo upande wa kushoto ukienda Kibaha
*Neighborhood* Chuo Cha St. Joseph, Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dawasa, TAKUKURU, Tarura
-Kiwanja ni tambarare
*Kiwanja kinafaa kwa ajili ya ujenzi wa Apartment, Jengo la Ofisi, Hoteli, Lodge, Fremu za Biashara, Hosteli n.k*
-Plot size Sqmtrs 721
-Document: Title Deed
*Matumizi* Biashara na Makazi
*Bei shilingi milioni 70 maongezi kidogo*
#0710614924
#0688653940