Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani
👉#BEI IMESHUKATENA _NDUGU_ZANGU
👉#BOSS_WANGU_ANAMATATIZO_YA_KIFAMILIA
👉#PAGALE_LINAUZWA
👉#PAGALE_HILI_BADO_JIPYA_KABISA
👉MAJI PAMOJA NA UMEME VIPO PEMBEN YAKO
👉ENEO LIPO SEHEMU NZURI SANA
👉ENEO NZIMA LINA UKUBWA WA SQM 800(20x40)
👉 ENEO LIMEPANGIKA BARABARA ZISHATENGWA
👉 MAHALI : KIBAHA KWA MATHIAS
👉#SIFA_ZA_PAGALE
👉 VYUMBA VITATU VYA KULALA
👉 MASTER BEDROOM MOJA
👉 SITTING ROOM KUBWA YENYE DINNING ROOM
👉(JIKO) KITCHEN
👉 PUBLIC TOILET
👉STORE
👉VIBARAZA VIWILI
👉SHIMO LA CHOO LISHACHIMBWA NA KUJENGEWA
👉UKUBWA WA ENEO NI 20x40 (SQM800)
👉BEI 17 MILLION (MAONGEZI YAPO)
👉HAPA UNAPAUA NA KUHAMIA KWAKO
👉 SERVICE CHARGE YA KUPELEKWA SITE 15000
👉KWA MAWASILIANO ZAIDI
☎️0757208653