Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


1. NEW PROJECT KIBAHA KONGOWE🔥🔥
🌼Umbali ni km 5 tu kutoka morogoro road
🌼Cash 10,000 kwa miezi 3
Mfano Kiwanja cha 450sqm ( 25 x 18 )
Unapata kwa 4,500,000
Unaweza kulipa hadi miezi 3
Yaani 1,500,000 kila mwezi
🌼Sqm moja Malipo ya Kidogo Kidogo ni 12000 miezi 24
Mfano kiwanja cha 450sqm ( 25 x 18 )
Malipo jumla ya kiwanja 5,400,000
Anza na 225,000 Endelea na kiwango hicho hicho mpaka miezi 24
🌼Huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi
🌼Uhakika wa HATI Miliki ya WIZARA ni uhakika
🌼Kutembelea miradi ni Jumatano,jumamosi na Jumapili
☎️kwa mawasiliano zaid
0628-240991