Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA BINAFSI KIBAMBA KIBWEGERE LAMI MPYA (UBUNGO MUNICIPALITY)
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED )
Ukubwa Wa Eneo: SQM 900
Umbali: 2 Kilometres Kutoka Morogoro Road
Nyumba Ipo Mtaa Mzuri Umejengeka Vizuri
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 110 Million (Maongezi)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 50,000