Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Kigamboni cheka
-KM 18 kutokea ferry mpaka site
-mita 800 kutokea main road hadi site
-huduma za kijamii zote zinapatikana
-kiwanja kipo 01 sqm 1374
-kiwanja kimepimwa na tunatoa hati miliki.
-Gharma ya kiwanja ni Tsh 22,000,000.
Kwa maelezo zaidi nipigie
+255767509509
Dora tower
Bamaga mwenge