Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


PLOT FOR SALE /ENEO LA BARABARANI LINAUZWA
๐LOCATION : MALAIKA BEACH , KIGAMBONI
๐Eneo linagusa barabara kuu ya lami
๐distance
-umbali ni km 3 tu kutoka darajani
-Pia kutoka ferry ni km 2
๐Eneo linafaa kwa makazi, biashara , kujenga frame , nyumba za kupangisha , garage, supermakert , pharmacy & hospital nk
UKUBWA ; #
๐๏ธENEO LINA UKUBWA WA SQM 700
๐Dimensions (Mita 20 kwa mita 35) = Total Sqm 700
Asking price : call for price
Site vist : 20,000/Tsh payable once
INFO : +255629894547 or #0767894547โ๏ธ (call /text /whatsapp)