Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Haya sasa Beach 🏖️ plot kigamboni Buyuni mita 200 kutoka site kuelekea Baharini kimebaki kiwanja kimoja tu Chenye ukubwa wa sqm529
Bei: Njoo na sh 15,870,000 Kwa cash au lipa kidogokidogo kwa miezi18 utaanza na Asilimia20 ambayo ni sh 3,703,000
NB: tuna ulipaji wa cash wa miezi 3
Site: jumatano, jumamosi na jumapili
Mawasiliano: 0717221937