Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Mwembemdogo, Kigamboni.
Usiulize kuhusu huduma za Kijamii,ZIPO.
Bei Imekufa!
Tsh. 10,000 kwa sqm 1 kwa malipo ya CASH.
Tsh. 12,000 kwa sqm 1 kwa malipo ya MKOPO.
Barabara ZIPO zinafikika Mwaka nzima.
Maji YAPO
Umeme UPO
Majirani WAPO
SITE TUNAENDA KILA siku.
Weka Appointment: 0695 73 57 57.