Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA
KIPO-DAR ES-SALAAM Tz
MAHALI-KIGAMBONI GEZA JUU
UKUBWA WA KIWANJA KIMEPIMWA SQM 1126
NYARAKA ZA UMILIKI KINA HATI SAFI YA WIZARA
MIUNDOMBINU YAKE;
Barabara inafikika vizuri neighbours ya kishua sio poa 🤔
Umeme x Maji ni sawa na uzima mbinguni
KIWANJA KIZURI KIKUBWA KIKO TAMBARARE
KINA FOUNDATION YA GHOROFA
BEI KINAUZWA TSHS MIL 100
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118