Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Magogoni Kigamboni baada ya mikadi beach Kuna sheli ya OOMCO zamani ilijulikana kama SCaba Scuba unafuata Barabara kuambaa ukuta uliojengwa hadi getini site ilipo. Kutoka nyumba ilipo hadi Barabara KUU ITOKAYO FERRY ni MITA 150 na kutoka nyumba ilipo hadi ufukweni/ beach iliyopo nyuma ya songoro martini ni mita 250 tu hapo umekanyaga maji ya bahari
Ukubwa wa kiwanja ni 490.63sqm, HATI (TITLE DEED) ipo ya wizara Kwa Jina langu muuzaji, nyumba inahitaji ukarabati wa paa.
Bei / Price 230 M na maongezi yapo
Dm OR WhatsApp 0629827031 … 📞