Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


✅Kigamboni Cheka ni 25km mpaka Ferry na 2km kutoka Main road
✅Malipo ya cash ni 23,000/=
Sawa na (500*23,000) 11,500,000/=
Cash ya miezi 3.
✅Malipo ya Installment ni 25,000/=
Sawa na (500*25,000) 12,500,000/=
Anza na 20% down payment 2,500,000/=
Kila mwezi utalipia 833,334/= miezi 18.
Huduma zote za kijamii zimefika na Majirani wapo wakutosha.
✍️Tembelea site Jumatano, Jumamosi na Jumapili.
☎️0714346782