Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


*Nyumba inauzwa Kisota-Kigamboni*
*Distance* Kutoka barabara kuu ni Mita 500 mpaka kwenye nyumba
-Nyumba ina vyumba 3 vya kulala vyote master bedrooms, dinning room, sitting room, kitchen, stoo na public toilet.
-Nyumba ina Swimming pool pamoja na Garden
-Plot size Sqm 700
-Title Deed 787 939 898
*Bei shilingi milioni 700 maongezi yapo*