Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Bado tunawapa wateja wetu mnachotaka jamani KIGAMBONI imerudi upyaa yaani ni ๐ฏ ๐ฏ
Mradi ni very handsome jamani๐ซก ๐ฅ
Mradi upo Kigamboni (Mwasonga)
-Bei ya mradi ni Tsh.3,600,000 tu
-Lipia kidogo kidogo Tsh.240,000 tu kila mwezi
-Lipia kwa muda wa miezi 15
-Lipia cash upate punguzo la 10%
Sifa za mradi
-Mradi ni handsome sana na umepimwa na Ramani zake ziko Aproved
-Ukimaliza malipo unapata Hati ya Wizara
#KIWANJA NI HATI
Hakikisha unamiliki Ardhi iliyopimwa ilikuepusha kusumbuka baadae
NB: Safari ya site ni Jumamosi,Nauli ni Tsh.10,000 kwenda na kurudi
Kwa maelezo zaidi kuhusu Mradi tupigie No.
โ๏ธ 0699543621