Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


*Plot ya ekari 3 kwa ajili ya ICD inauzwa Daraja la Nyerere, Kigamboni*
📍 Kiwanja kipo mita 900 kutoka Daraja la Nyerere Kigamboni na kilomita 4.4 hadi Bandari ya Dar es Salaam.
✅Kiwanja kiko upande wa Baharini
*Kiwanja kinafaa kwa matumizi ya Bandari kavu kwa sababu kipo karibu na Bandari ya Dar es Salaam*
✅Ukubwa wa kiwanja ekari 3
✅Document: Title Deed
*Bei $ 4.5 million mazungumzo yapo* CALL 0683491594,0716974073



















