Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Alright guys!!!!!!!
■a house with big pla e inside is available for sale
■ukubwa wa kiwanja ni sqm 1400,hati ya wizara
■nyumba kubwa ina 3 bedrooms,moja master,dining,jiko na sebule
■Servant quarter ina chumba,sebule na choose na ina chumba chengune kinajitegemea,so total we have 5bedrooms
■nyumba ipo kigamboni,kibugumo very close to the main road,ni dakika chache mno kutoka lami
■bei elekezi ya nyumba ni 130,000,000M tsh(MILLION MIA NA THELATHINI TU)
■Ur real estate agent Dalali_mwarabu_tz
■ 📞 +255745828614
■watsap +255628000837
#Dalali_mwarabu_tz #viwanjadar
#viwanjakigamboni #property #propertyforsale #real #realestate