Kiwanja kinauzwa Kilimanjaro, Kilimanjaro


LOCATION:Full fanished iliyopo Kwa Alphonse Karibu sana na Lami.
UKUBWA: Nyumba ina chumba kimoja ambacho ni Master, sebule,jiko na makabati chumbani.
BEI: Nyumba inapangishwa 40,000 kwa siku kwa Mtu anae taka kwa siku mpaka wiki,
: Ila Kwa anaekaa kwa muda mrefu wa mkataba wa kuanzia miezi 6, mwaka na kuendelea atalipia 450,000.
USALAMA: Hakika pana usalama wa kutosha.
MMONEKANO: Ina uzio wa ukuta kote na paving na gate la kisasa.
NOTE: Gharama za kuonyeshwa nyumba ni 10,000 tuu.
MAWASILIANO:0625369161, Moshi Kilimanjaro.