Kiwanja kinauzwa Kilimanjaro, Kilimanjaro


LOCATION: Nyumba ya kujitegemea na iko KCMC nyumba ipo karibu na Lami.
UKUBWA: Nyumba ina vyumba vi 4 kimoja ambacho ni Master, sebule na jiko.
BEI: Nyumba inapangishwa 300,000 kwa mwezi.
Malipo ni kuanzia miezi3 hadi miezi 6, au mwaka na kuendelea.
USALAMA: Hakika pana usalama wa kutosha.
MWONEKANO: Ina uzio na gate
NOTE: Gharama za kuonyeshwa nyumba ni 10,000 tuu.
MAWASILIANO:0625369161, Moshi Kilimanjaro.