Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA INA UZWA KIMARA SUKA
BEI NI MILIONI 65 MAONGEZI KIDOGO YAPO
UMBALI WA KM 1
AU BODABODA 1000
UKUBWA WA ENEO LINA SQWEA METER 500
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO NA SEHEMU YA KUPUMZIKIA NA PIA INA SEVANT COTTER YA PEMBENI CHUMBA NA SEBULE
NYUMBA INA HATI MILIKI YA MHUSIKA KABISA
IPO NDANI YA FENSI BADO KUWEKWA GETI TU
UMEME UPO MAJI YAPO YAANI NYUMBA NI YA KUHAMIA TU
What saapp number ⬅️ 0689-547258