Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTIMENT ZINAUZWA ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WA KM/ MOJA KUTOKA MOROGORO ROAD
KUNA FREM 9 NA ZOTE ZINA WAPANGAJI
KUNA NYUMBA TATU NA KILA MOJA INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTAR KUNA SEBULE KUBWA JIKO KUBWA NA PUBLIC TOILET
KILA NYUMBA MOJA
INAPANGISHWA 350K
ENEO LINA UKUBWA WA SQMT 1200 NA LIMEPIMWA
ENEO LINA HATI
BEI YA KUUZA NI 250/ MILIONI MAZUNGUMZO KIDOGO YAPO
SERVICHAJ ELFU 20
CONTACT
0742260844
0657384670
.
KIUMBE REAL ESTATE AGENTS
. .
Epuka matapeli fanya kazi na madalali wenye ofc na waliosajiliwa