Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KILICHOPIMWA, SQM.1,200, TSHS.16 MILIONI,MAJI YA CHUMVI.
Unaingilia Kimara Korogwe upande wa kushoto ukielekea Kibaha, unaifuata hiyi Barabara ya Zege.
Umbali wa mita 150 tu kutiaka hiyo Barabara ya zege.
Kituo kinaitwa KANISANI.
_______________________
ANGAL:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
Kwa hiki au kwa mahitaji ya kunua cochote au kama unachievable unachouza Tafadhali usisite kuwasiliana nami.
+255714591548
_______________________mpg
Njia ya kuingi inahitaji kuboreshwa kidogo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.