Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA KIMARA TEMBONI
KUSHOTO KAMA UNATOKEA MJINI UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10 TU KWA MGUU
≠======
SIFA ZA KIWANJA
KIWANJA KINA MSINGI WA NYUMBA KUBWA YA VYUMBA VINNE KIMOJA MASTER SEBULE DINNING ROOM JIKO STOO NA CHOO CHA PUBLIC
=====
BARABARA NI LAMI
UKUBWA WA KIWANJA SQMT. 750
PAZURI SANA KIBIASHARA KAMA KUJENGA APATIMENTI ZA KUPANGISHA AU KUISHI MWENYEWE
=====
BEI MILIONI 50,#MAONGEZI KIDOGO YAPO
=======
KUONA KIWANJA 25,000/=
Contact
0754344786
0652472014