Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI NYUMBA ZINAUZWA BEI YA KUTUPA MILIONI 95
ZIKO NYUMBA TATU KILA NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE KUBWA ZINAFAA KWA FAMILIA KUBWA ZOTE ZINA WAPANGAJI....ZINAUZWA KWA PAMOJA
KILA NYUMBA INA :-
VYUMBA 3 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA SELF
SEBULE KUBWA
JIKO
PUBLICK TOILET
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA LUKU YAKE
MAJI DAWASA YAPO
UKUBWA WA KILA NYUMBA NI SQM 300
UMILIKI MKATABA MAUZIANO SELIKARI YA MTAA
BEI NI MILIONI 95 MAONGEZI YAPO KIDOGO
ZIPO KIMARA KOROGWE KARIBU NA KAM COLLAGE
SERVICE CHARGE ELF 30
KARIBU NDUGU MTEJA
What saapp number ⬅️ 0689-547258