Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


PAGALE LA VYUMBA VITATU LINAUZWA MAHALI KIMARA MWISHO SEHEMU HUSIKA MILENIA SHULE.
bei elekezi milioni 35 maongezi yapo.
Ukubwa wa kiwanja kina mita 20 Kwa 15 sehemu inapitika kwa gari mpaka kwenye nyumba.
Umbali kutoka barabara kuu ni kilomita mbili.
Kupelekwa kuona 25,000/=
0679447338