Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam
KIWANJA KIZURI SANA KIPO SEHEMU NZURI KIPO JIRANI NA BARABARA KUU YA MOROGORO ROAD NA KINAFAA KWA UJENZI WA AINA YEYOTE
π KIWANJA HIKI KINA SIFA ZIFUATAZO
#KIPO JIRANI NA BARABARA
#HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO
#KIPO SQUARE
#KIMEPIMWA
UKUBWA WA KIWANJA NI METERS 25 UREFU,, METERS 24 UPANA
BEI NI MILIONI 35 MAONGEZI YAPO
π«π« KIWANJA HIKI KIPO KIMARA STOP OVER NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE KIWANJA
KUONESHWA KIWANJA HIKI GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa