Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


PAGALA LA VYUMBA VITATU LINAUZWA MAHALI KIMARA MWISHO SEHEMU HUSIKA MILENIA SHULE.
bei Elekezi milioni 35 maongezi yapo.
Ukubwa wa kiwanja kina mita 20/15 sehemu inapitika kwa gari hadi kwenye nyumba.
Umbali kutoka barabara kuu ni kilomita 3
KUONYESHWA SITE 30,000/=
What saapp number ⬅️ 0689 547258