Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA
BEI NI MILIONI 30/
KIPO KIMARA MWISHO
MTAA MICHUNGWANI
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASI NI KM 1, MOJA TUU
PKPK 1000/
UKITOKEA UBUNGO NI MKONO WA KULIA
======
UKUBWA WA KIWANJA NI MITA. 45 KWA 25
KIWANJA KIMEPIMWA
KINA MAWE BADO HATI
DOCMENTI ZOTE ZIPO
LINAFAA KUJENGA APATIMENTI ZA KUPANGISHA
AU NYUMBA YA KUISHI MWENYEWE
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
======
UDUMA ZA KIJAMII ZIPO
______________________
MAJI DAWASA ✓
UMEME ✓
SHULE ZIPO✓
HOSPITALI✓
=======
KUONA KIWANJA
NI 30,000/=
# Simu 0757 404087