Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI NA BADO MPYA INAUZWA KIMARA SUCA YENYE SIFA HIZO
VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER, SEBLE KUBWA, JIKO, DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENS
PIA KUNA BOY CORTER YA CHUMBA MASTER NA JIKO UNFINISHED
UKUBWA WA KIWANJA SQMT 450
PAMEPIMWA ULASIMISHAJI NA KUNA MAWE
HATI MAUZIANO
UMBALI TOKA LAMI KM 2.5
BEI ML 67 MAONGEZI
___
#0714335450