Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


GUEST HOUSE NZURI IPO KIBIASHARA NA LOCATION SAFI
PIGA SIMU 9755831740
INAUZWA INAUZWA
LOCATION KIMARA KOROGWE
GUEST INA VYUMBA SABA VYOTE CHOO NDANI
GUEST IPO SEHEMU NZURI NA NI YA BIASHARA SANA
UMBALI WA KUTOKA STAND YA KIMARA KOROGWE NI KILOMITA MBILI ILA UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAONA GUEST
IPO STAND KUU YA BAJAJI
BEI NI TSH 150 MILIONI MAONGEZI YAPO
UMILIKI NI HATI YA MAUZIANO SELEKALI ZA MITAA
UKUBWA WA ENEO NI KILOMITA 400
KUPELEKWA SITE KUKAGUA NI TSH 30.000
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU