Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


BEI MILIONI 80 TEMBONI NYUMBA INAUZWA
KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
MAZINGIRA MAZURI SANA
UKUBWA SQM 500
Umbali kilometer 1kutoka Morogoro Road
Nyumba kubwa na kuna nyumba ya chumba Seble ,masta na jiko.(Servant quoter)
BEI: Miloni 80 kimara temboni
Kupelekwa kuona nyumba 30,000
What saapp Number 0689-547258