Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


INAUZWA MILIONI 46 (KIMARA TEMBONI)
PUNGUZO 💥 PUNGUZO 💥HII NI OFA KUBWA NDUGU MTEJA INAUZWA NYUMBA HII MILIONI 46 (46,000,000/= )
NYUMBA NZURI KUBWA YA FAMILIA INAUZWA NI NYUMBA YA KUHAMIA TUU NA IPO SEHEMU NZURI SANA BEI MSELELEKO KABISA (46,000,000/= TSH) MILLION 46 NA GARI LINAFIKA HADI MLANGONI
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YAPO YA KUTOSHA
#PARKING
#IPO NDANI YA FENSI
#NYUMBA YA KUHAMIA TUU NA KUONGEZEA UREMBO WAKO BINAFSI
BEI NI 46,000,000/= TSH
UKUBWA WA ENEO NI 20/18 METERS
DOCUMENTS:- HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Contact:
0654101710
0787205300