Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA KIMARA TEMBONI
KIWANJA KIZURI SANA NA KIPO TAMBARARE (MKEKA) NA KIPO MTAA WA KISHUA BALAA KINAUZWA
KIWANJA HIKI KINA SIFA ZIFUATAZO
# MIUNDO MBINI ZOTE ZIPO VIZURI
#HUDUMA ZA KIJAMII ZIPO ZA KUTOSHA
#KIPO TAMBARARE
#MTAA WA KISHUA
UKUBWA WA KIWANJA NI 70/80METERS
DOCUMENT:- NI HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
BEI NI MILIONI 350 MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA
KIWANJA HIKI KIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA NI DK.5 TUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE KIWANJA
KUONESHWA KIWANJA HIKI NDUGU MTEJA GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 25
NDUGU MTEJA KARIBU SANA MANISPAA YETU YA UBUNGO
0679437338
0753454167