Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam







KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
KIMARA STOP OVER
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA SITE NI DK5. KWA KUTEMBEA KWA MIGUU
UKUBWA WA KIWANJA SQM 300.
DOCUMENT NI HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA..
๐ฅBEI YAKE MILION 34.
MAONGEZI KIDOGO YAPO.
KIWANJA KIZURI SANA KINAFAA KUJENGWA NYUMBA YA KUISHI BINAFSI AU NYUMBA ZA ZA BIASHARA (APARTMENT'S)
HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO HAPA MAJI SAFI DAWASA, UMEME UPO NA BARABARA IPO VIZURI MPAKA SITE.
๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA..
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363