Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Ukubwa sq 1700.. pana hati mmiliki.. lami mpaka kiwanja kilipo... Ukifika opposite nyumba ya Simba chawene kinyerezi , unaingilia njia ya the voice night club
Bei milioni 250 maongezi yapo kidogo
Sevchage 30000 kwenda Kuona saity za kununua
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347