Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


ENEO LA NDOTO LINAUZWA β KINYEREZI KIBAGA B!
π Ukubwa: 1,400 sqm
π° Bei: Tsh Milioni 220 (bei poa sana!)
β
Tambarare kabisa | Hati tayari | Lipo ndani ya fence
β
Umeme, Maji ya DAWASCO, barabara nzuri β huduma zote zipo
β
Majirani wamejenga nyumba za kifahari, eneo safi na tulivu
β
Linafikika kwa gari lolote, lango la mlango
π‘ Pafaa kabisa kwa:
- Nyumba yako ya ndoto (dream house)
- Uwekezaji wa uhakika (bei inakwea haraka!)
Fursa haitadumu!
Piga sasa: π 0688 412 890
dalaliwakishua
βMiliki Kesho Yako Leo!β β¨



















