Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa kinyerezi kifuru.
Kiwanja kipo mita 500 kutoka lami, ni corner plot
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 3,948.
Pamepimwa hati bado.
BEI; Million 175.
Mtaa mzuri sana,.
Piga; 0745488000
;
Karibuni sana.